
Ongeza Showmax kwenye bili yako ya DStv
Pata burudani zaidi kwa bei nafuu kutoka Showmax!

Je, wewe ni mteja wa DStv?
Pata punguzo la 100% kwa huduma ya Showmax
Ongeza Showmax kwenye bili yako ya DStv ili uokoe muda na pesa.
Wateja wa DStv Premium
Pata huduma ya Showmax bila gharama ya ziada.
DStv Compact Plus, Compact, Family na Access
Furahia kutumia huduma ya Showmax kwa punguzo la bei la 17%. Lipa TSH 10 000 pekee kwa mwezi.
Wewe si mteja wa DStv?
Usijali! Jisajili katika huduma ya Showmax kwa KSH 12 000 pekee kwa mwezi.
Sababu zitakazokufanya upende Showmax

Kwa urahisi wa mambo
Lipa bili 1 ya DStv na Showmax

Kwa urahisi wa kutazama
Tazama kwenye vifaa 2. Sajili vifaa 5.

Kwa wanaookoa data
Pakua vipindi ili uvitazame nje ya mtandao wakati wowote

Kwa udhibiti wa data
Chagua ubora wa video unaotaka

Kwa vipindi bora zaidi vya Afrika
150% zaidi ya Vipindi Halisi mwaka wa 2024

Kwa vipindi maarufu vya kimataifa
Kutoka kwa chapa maarufu za burudani
Jinsi ya kulipia huduma ya Showmax kwa kutumia DStv barani Afrika
Ongeza Showmax kwenye bili yako ya DStv ili urahisishe mambo zaidi na uokoe pesa nyingi.
1. Bofya kitufe kilicho hapa chini ili uende kwenye ukurasa wa kuingia katika huduma ya MyDStv Self-Service.
2. Ingia katika akaunti ukitumia maelezo yako ya mteja wa DStv.
3. Bofya My Products, na uende kwenye Subscriptions, kisha uchague usajili wa DStv.
4. Chagua alama ya kuongeza (+) katika sehemu ya Add To This Subscription.
5. Nenda kwenye bango la Showmax na ubofye (+) Add.
6. Bofya Accept ili ukubali bei ya kuongeza Showmax.
7. Kwenye ukurasa wa machaguo ya kulipa, utapata kidokezo cha kulipa.
8. Bofya Continue to Showmax, kisha unda akaunti au ingia katika akaunti.