Ili kughairi malipo kupitia mtu au kampuni nyingine, tafadhali wasiliana naye/nayo moja kwa moja.
Hili likishafanyika, utahitaji kusasisha njia yako ya kulipa ili uendelee kutumia Showmax. Angalia Je, nitabadilisha vipi njia yangu ya kulipa?
ili upate maelezo ya jinsi ya kufanya hili.