Kituo cha Usaidizi

Showmax ni nini?


Picha

 

Showmax ni huduma ya video isiyo na matangazo ambayo hukuletea aina mbalimbali ya mfululizo, filamu, filamu hali halisi, Showmax Originals, maonyesho ya watoto na michezo ya Ligi Kuu.

 

Kwa bei moja nafuu ya kila mwezi, unapata ufikiaji usio na kikomo, maudhui mapya yanayoongezwa kila wiki na uhuru wa kutazama wakati wowote. Pia, hakuna mikataba, kwa hivyo unaweza kughairi wakati wowote unapotaka.

 

Tembelea ukurasa wa Simulizi za Showmax ili kuona maudhui yote ya ndani na kimataifa ambayo tumekuwekea.

 

 


Je, maoni haya yamekufaa?