Tazama mubashara mechi za Premier League
Tazama mubashara mechi zote 380 kwenye kifaa cha mkononi, pia tazama dondoo, mahojiano, vipindi vya majarida na mengineyo. Ni huduma ya kipekee.
KUANZIA
TSh9,800

Timu zote unazopenda


Baada ya dakika 90: mbinu, uchambuzi na mengineyo
Pata uhondo wa mechi zaidi kwa kutazama dondoo, mahojiano, makala, yanayojiri nje ya uwanja na mengineyo.
Chagua mpango wako
Entertainment + PL
Vifaa Vyote + Vifaa vya Mkononi
- Tazama tamthilia, filamu na mengineyo.
- Tazama mechi zote za Premier League.*
- Tazama katika ubora wa HD au pakua.*
TSh19,800 pm
Premier League
Vifaa vya Mkononi
- Tazama mechi zote za Premier League.*
- Dondoo na maudhui ya kufikiwa na kila mtu.
- Tazama katika ubora wa FHD au chagua ubora unaotaka*
TSh9,800 pm
Entertainment + PL
Vifaa vya Mkononi
- Tazama tamthilia, filamu na mengineyo.
- Tazama mechi zote za Premier League.*
- Tazama katika ubora wa HD au pakua.*
TSh15,000 pm
*Maudhui yanayotolewa yanaweza kutofautiana kulingana na nchi. Ada kamili ya usajili inategemea mpango wa usajili uliochagua (Vifaa vyote/Vifaa vya Mkononi). Huduma ya Premier League/PL inapatikana kwenye Vifaa vya Mkononi pekee. Ubora wa utazamaji huenda ukategemea kifaa unachotumia. Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
Kitakachokufanya upende huduma ya Showmax Premier League

Kwa kutazama mechi popote ulipo
Furahia mechi za Premier League kwenye simu yako

Kwa mashabiki
Tazama dondoo, mahojiano na mengineyo

Kwa mechi za Premier League
Tazama mubashara mechi zote 380 za PL

Kwa udhibiti wa data
Namna ya kupangilia data

Kwa thamani kubwa
Bei nafuu kuanzia TSh9,800 kwa mwezi

Kwa malipo rahisi
Njia nyingi za malipo. Sitisha huduma wakati wowote.
Jinsi ya kupata huduma ya Showmax Premier League
1. Chagua mpango wako
Bofya kitufe kilicho hapa chini ili uchague mpango wa Showmax Premier League.
2. Fungua akaunti yako
Fungua akaunti na uchague njia ya kulipia inayokufaa.
3. Pakua app ya Showmax
Pakua app mpya ya Showmax kwenye simu yako.
4. Ingia katika akaunti na utazame
Ingia kwenye app, tengeneza wasifu na uanze kutazama vipindi mubashara.
Una maswali? Tuko hapa kwa ajili yako.
Mpango wa Showmax Premier League Mobile unajumuisha nini?
Showmax Premier League Mobile inatoa huduma ya kutazama mubashara kila mechi ya Premier League, dondoo za mechi, maandalizi, uchambuzi na mengineyo. Tafadhali kumbuka kuwa mpango huu unapatikana kwenye vifaa vya mkononi pekee.
Ninaweza kutazama nini nikiwa na Showmax Premier League Mobile?
- Showmax Premier League Mobile ni huduma ya vifaa vya mkononi pekee inayokupa uwezo wa kutazama kila mechi ya Premier League mubashara. Pia, unaweza kutazama vipindi mbalimbali vya Premier League kama vile makala, dondoo, uchambuzi kabla ya mechi, mahojiano na mengineyo.
- Hutaweza kutazama filamu, tamthilia, vipindi vya watoto au vipindi vya jumla kwenye mpango huu.
- Tafadhali kumbuka kuwa mpango huu unapatikana kwenye vifaa vya mkononi tu
Kwa nini mpango wa Premier League Mobile una soka pekee?
Tumeuzindua kwa kulenga Premier League ili kuwezesha hadhira yetu itazame ligi maarufu zaidi ya soka kwa bei nafuu. Mpango huu ni sehemu ya ahadi yetu ya kufanya ligi maarufu iweze kutazamwa na mamilioni ya watumiaji wa simu kote barani Afrika.
Ninaweza kutumia Showmax Premier League Mobile kwenye TV yangu yenye intaneti au kuonyesha kwenye runinga?
"Mpango wa Showmax PL unapatikana kwenye vifaa vya mkononi (simu na tableti) vinavyotumika
- iOS: Toleo la 14 au la juu
- Android: Toleo la 7.0 au la juu
- Kifaa cha Huawei chenye HMS / App Gallery
Haiwezi kutumwa na kuonyeshwa kwenye televisheni na hivyo haifai kwa mikusanyiko ya watu (kwa familia tuna Showmax Entertainment ambao haujumuishi michezo inayotiririshwa moja kwa moja)"
Showmax Premier League Mobile ina vipindi visivyo vya michezo?
- Showmax Premier League Mobile imebuniwa kwa ajili ya mashabiki wa soka, ikiwa na vipindi vya kipekee vya Premier League mbali na mechi mubashara. Ikiwa ungependa kupata orodha kamili ya vipindi vyetu, tunapendekeza ujisajili Showmax Entertainment, ambapo kuna tamthilia nyingi mbalimbali, filamu, vipindi vya watoto na mengineyo.
- Ikiwa ungependa kutazama filamu, tamthilia na vipindi vingine, utahitaji pia kujiunga na Showmax Entertainment au Showmax Entertainment Mobile."
Ninawezaje kulipia huduma ya Showmax?
Showmax ina njia kadhaa za kulipa kulingana na mapendeleo yako. Kwa sasa, unaweza kulipia ukitumia kadi za Visa na MasterCard. Njia nyingine za kulipa zitaongezwa baadaye na utafahamishwa zitakapoongezwa.
Ninaweza kutumia Showmax Premier League Mobile kwenye vifaa vingi?
Showmax Premier League Mobile ni mpango wa vifaa vya mkononi pekee, kumaanisha kuwa unatumika kutazama kwenye kifaa kimoja cha mkononi na hautumiki kutazama kwenye vifaa vingi kwa wakati mmoja.
Ninawezaje kukatisha usajili wa Showmax?
Ingawa tungependa uendelee kutumia huduma yetu, ila ikiwa utaamua kukatisha usajili wako, utaratibu huo ni rahisi.
- Ingia katika akaunti yako katika www.showmax.com
- Chagua ishara ya wasifu wako na uende kwenye ""Akaunti"".
- Chini ya Mipango na Malipo, chagua “Dhibiti mpango”.
- Chagua “Komesha mpango” ili ukomeshe usajili wako.
Iwapo unahitaji usaidizi wowote, timu yetu ya usaidizi iko tayari kukusaidia katika .
Ninawezaje kupakua Showmax kwenye vifaa vyangu vya mkononi?
- Nenda kwenye App Store, Google Play au Huawei App Store kwenye kifaa chako.
- Tafuta Showmax.
- weka app ya Showmax inayoonekana kwenye matokeo ya utafutaji.
- Ingia ukitumia akaunti yako ya Showmax ili ufurahie utazamaji na upakuaji rahisi wa vipindi.
- (Utatakiwa uwe umefungua akaunti yako kwenye tovuti ya showmax.com kabla ya kuingia katika programu. Iwapo umesahau jina lako la mtumiaji, unaweza kulipata katika sehemu ya Akaunti Yangu kwenye showmax.com.)

Kula bando: Burudani + Premier League
Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.
KUANZIA
TSh 19,800