Tunaitiririshia Afrika
Tiririsha au pakua tamthilia, filamu na mengineyo. Tazama pia kila mechi ya Premier League na Betway Premiership mubashara kwenye kifaa cha mkononi.
KUANZIA
TSh7,300
Streaming for Africa
Stream or download hit series, movies and more. Plus watch every Premier League match live on mobile.
KUANZIA
TSh7,300
Je, tayari umejisajili Showmax?
Tumia vocha yako ya kulipia
mapema hapa.
Ongeza Showmax kwenye bili yako ya DStv
Kama mteja wa DStv unaweza kufurahia punguzo la ziada ya bei na urahisi wa kulipa bili moja.
Vipindi Halisi vya Kipekee vya Afrika
Hata vipindi halisi vikubwa zaidi ambavyo huwezi kuvipata kwingineko.
Premier League
popote ulipo
Stream mechi zote 380 za Premier League kwenye simu yako pamoja na uchambuzi, mahojiano na mengineyo.
KUANZIA TU
TSh9,800
Burudani inayovuma
Filamu zaidi maarufu, tamthilia, vipindi vya hali halisi na vipindi vya watoto.
Sababu zitakazokufanya upende Showmax
Kwa urahisi
Tazama vipindi kwenye kifaa cha mkononi au vifaa vingi
Kwa wanaookoa data
Pakua vipindi ili uvitazame nje ya mtandao wakati wowote
Kwa mechi za Premier League
Tazama mechi zote 380 mubashara kwenye kifaa cha mkononi
Kwa mechi za PSL
Tazama mechi zote za Ligi + Vikombe
Kwa malipo rahisi
Njia nyingi za malipo. Sitisha huduma wakati wowote.
Kwa vipindi mbalimbali
Vipindi zaidi maarufu vya Afrika na kimataifa
Vifaa vinavyotumika
iOS, Android &
Huawei
Windows &
Mac
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Miundo
iliyochaguliwa
Una maswali? Tuko hapa kwa ajili yako.
- Showmax ni nini?
Showmax ni huduma ya kutazama video popote ulipo bila matangazo inayokuletea tamthilia mbalimbali, vipindi vya hali halisi, Vipindi Halisi vya Showmax (Showmax Originals), vipindi vya watoto, mechi za Premier League na PSL. Kwa bei moja nafuu ya kila mwezi, utaweza kupata bila kikomo maudhui mapya yanayoongezwa kila wiki na uhuru wa kutazama wakati wowote. Vilevile, hakuna mikataba, hivyo unaweza kusitisha huduma wakati wowote unaotaka.
- Showmax inatoa mipango ipi ya usajili?
Showmax inatoa mipango mbalimbali inayofaa kutokana na hali ya utazamaji wako:
- Mpango wa Showmax Entertainment kwa vifaa vyote
Huu ni mpango wa kawaida wa Showmax unaowapa wateja tamthilia mbalimbali, filamu, vipindi vya watoto, vipindi vya hali halisi ikijumuisha Vipindi Halisi vya Showmax (Showmax Originals), vipindi halisi vya MultiChoice na vipindi kutoka NBC, HBO, Sony, BBC, Sky, Peacock, na mitandao mingine, vya kutazama kwenye idadi ya hadi vifaa vitano tofauti, na utazamaji wa vipindi viwili kwa wakati mmoja.
- Mpango wa Showmax Entertainment Mobile
Hili ni toleo la vifaa vya mkononi la mpango wa Showmax Entertainment, na linawapa wateja maudhui sawa kwa nusu ya bei na linatumika kwenye kifaa cha mkononi.
- Showmax Premier League Mobile
Mpango huu wa vifaa vya mkononi pekee unajumuisha utazamaji mubashara wa kila mechi ya Premier League na Betway Premiership, dondoo za mechi, shughuli za maandalizi, vipindi vya mazungumzo, mahojiano na mengineyo. Tafadhali kumbuka kuwa mpango huu unapatikana kwenye vifaa vya mkononi pekee.
- Mpango wa Showmax Premier League Mobile una nini?
Mpango wa Showmax Premier League Mobile unatoa huduma ya utazamaji mubashara wa kila mechi ya Premier League na Betway Premiership, dondoo za mechi, shughuli za maandalizi, vipindi vya mazungumzo, mahojiano na mengineyo. Tafadhali kumbuka kuwa mpango huu unapatikana kwenye vifaa vya mkononi pekee.
- Ninaweza kulipa vipi?
Showmax inatoa njia mbalimbali za kulipa kulingana na mapendekezo yako. Kwa sasa, unaweza kulipa ukitumia kadi zako za mikopo na benki zinazotumia Visa na MasterCard, kwa kuongeza kwenye bili yako ya DStv au kutumia vocha za kulipia mapema. Njia zingine za kulipa zitaongezwa baada ya muda na tutakufahamisha mara tu zitakapowekwa.
- Can I watch Showmax on multiple devices?
- Showmax inakupa machaguo rahisi ya utazamaji kulingana na mapendeleo yako. Kwa kutumia mpango wa Entertainment kwa vifaa vyote, unaweza kufurahia utazamaji wa vipindi kwenye vifaa viwili kwa wakati mmoja.
- Mipango yetu ya vifaa vya mkononi pekee, ambayo inajumuisha mpango wa Entertainment Mobile na Premier League Mobile, imebuniwa kwa utazamaji wa vipindi kwenye kifaa kimoja cha mkononi.
- Which devices can I watch Showmax on?
- Wavuti: Chrome 102+ (Windows/Mac); Firefox 102+ (Windows/Mac); MS Edge 102+ (Windows/Mac); Safari 14+ (Mac)
- Mobile iOS: Toleo la 14 au la juu
- Mobile Android: Toleo la 7.0 au la juu
- Mobile Huawei
- LG TV: Toleo la LG WebOS 3.5 au la juu; 2016+; LG WebOS 3.0-3.5‚ huduma ya Ai inaongezwa kwa uzinduzi
- Samsung TV: 2016+
- Hisense TV: 2020+
- STBs: STB Explora Ultra; STB Streama
- Android TV: Smart TV mbalimbali zinazotumia huduma ya Android TV, kama vile Sony Bravia, na ving'amuzi, ikijumuisha NVIDIA Shield, inayotumia toleo la Android OS 5.1
- Apple TV: Apple TV HD (Kizazi cha 4 au cha juu) inayotumia toleo la tvOS 16 au la juu
- Chromecast: Kizazi cha 1 au cha juu ikijumuisha Chromecast inayotumia Google TV
- PlayStation: PlayStation 4; PlayStation 5
- Xbox: Xbox One; Xbox Series X; Xbox Series S
- Ninawezaje kusitisha usajili wangu wa Showmax?
Ingawa tungependa uendelee kuwa mteja wetu, ukiamua kusitisha usajili wako, utaratibu wake ni rahisi zaidi.
- Ingia tu katika akaunti yako katika www.showmax.com
- Chagua ishara ya wasifu wako na uende kwenye "Akaunti".
- Chini ya Mipango na Malipo, chagua “Dhibiti mpango”.
- Chagua “Komesha mpango” ili ukomeshe usajili wako.
Iwapo unahitaji usaidizi wowote, timu yetu ya usaidizi iko tayari kukusaidia katika showmax.com/tz/help.
- Je, ninahitaji intaneti ili kutazama vipindi vya Showmax?
Ndiyo – kwa kuwa Showmax ni huduma ya utazamaji ya mtandaoni, unahitaji intaneti thabiti. Tunapendekeza intaneti yenye kasi ya Mbps 5 hadi 10 ili upate hali bora zaidi ya utazamaji, iwe kupitia Wi-Fi au mtandao wa simu. Ili udhibiti data ya matumizi, Showmax inatoa ubora tofauti wa utazamaji na inakuruhusu upakue maudhui kwenye kifaa chako cha mkononi ili uyatazame baadaye nje ya mtandao.
- Ninawezaje kupakua programu ya Showmax kwenye Smart TV yangu?
Ili uanze kutazama maudhui ukitumia Showmax, pakua programu yetu kwa kufuata hatua hizi:
- Tafuta programu ya Showmax kwenye App Store ya Smart TV yako.
- Sanidi kwenye kifaa programu ya Showmax isiyolipiwa inayoonekana kwenye matokeo ya utafutaji.
- Ingia ukitumia akaunti yako ya Showmax ili ufurahie utazamaji na upakuaji rahisi wa vipindi.
- (Utatakiwa uwe umefungua akaunti yako kwenye tovuti ya showmax.com kabla ya kuingia katika programu. Iwapo umesahau jina lako la mtumiaji, unaweza kulipata katika sehemu ya Akaunti Yangu kwenye showmax.com.)
- Ninawezaje kupakua programu ya Showmax kwenye vifaa vyangu vya mkononi?
- Nenda kwenye App Store, Google Play au Huawei App Gallery kwenye kifaa chako.
- Tafuta Showmax.
- Sanidi kwenye kifaa programu ya Showmax isiyolipiwa inayoonekana kwenye matokeo ya utafutaji.
- Ingia ukitumia akaunti yako ya Showmax ili ufurahie utazamaji na upakuaji rahisi wa vipindi.
- (Utatakiwa uwe umefungua akaunti yako kwenye tovuti ya showmax.com kabla ya kuingia katika programu. Iwapo umesahau jina lako la mtumiaji, unaweza kulipata katika sehemu ya Akaunti Yangu kwenye showmax.com.)