Pazia - Season 1 Episode 11 - Episode 11
Episode 11
Regina anajikuta kati kati ya ugomvi mkubwa wa wazazi wake waliotengana, baada ya kugundua bado wanapendana heka heka zina anzia hapo. Je Regina atafanikiwa kuwapatanisha wazazi wake?
Recommended
![](https://www.showmax.com/dam/premier-league/all-regions/all-regions-hero-gen-ent-showmax-bundle-desktop-15-03-2024.webp?downsize=1200:*&output-format=webp&output-quality=70)
Kula bando: Burudani + Premier League
Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.
KUANZIA
TSh 19,800