Kituo cha Usaidizi

Je, ninaweza kutumia Showmax kwenye vifaa vingi?


Ndiyo - mpango wetu wa Showmax Entertainment wa “Vifaa Vyote” hukuwezesha kusajili vifaa vingi na kutiririsha kwenye vifaa viwili kwa wakati mmoja.

 

Hata hivyo, mipango yetu ya Showmax Entertainment Mobile na Showmax Premier League Mobile ya "Vifaa vya Mkononi" hukuwezesha kutazama kwenye simu moja pekee. Kifaa chako cha kwanza kilichosajiliwa kilichotumiwa kucheza kitachukuliwa kuwa kifaa chako pekee. 


Je, maoni haya yamekufaa?