Ikiwa una Mpango wa Burudani ya Showmax, unaweza kuongeza Ligi Kuu kwenye mpango wako wakati wowote!
- Nenda kwenye Showmax.com kisha uingie kwenye akaunti.
- Nenda kwenye Akaunti kupitia upau wa menyu wa juu kulia.
- Chagua Mipango na Malipo.
- Katika sehemu ya Ongeza Mpango, bofya kitufe cha Ongeza Mpango karibu na Ligi Kuu ya Showmax.
- Fuata maagizo ili uweze kulipia Mpango wako wa Ligi Kuu ya Showmax.
Utaona usajili mpya wa Spoti kwenye ukurasa wa Mipango na Malipo kwenye Akaunti yako, pamoja na tarehe yako ijayo za kulipa.
Kumbuka: tarehe yako ya kulipa inaweza kuwa tofauti kwa kila mojawapo ya mipango yako.
Iwapo badala yake ungependa kuchukua ofa, nenda kwenye tovuti yetu ya Showmax kwenye ukurasa wa chagua mpango wako ili uone ofa zinazopatikana.