Kituo cha Usaidizi

Showmax inagharimu kiasi gani?


Bei za Showmax huanzia kiasi kidogo kama $3.

 

Unapojisajili, utapewa machaguo yote ya Showmax Entertainment, Showmax Entertainment Mobile na Showmax Premier League Mobile.

Katika hatua hii, unaweza kuamua ikiwa ungependa kutazama kwenye vifaa vingi au kwenye simu yako ya mkononi.

 

Tembelea showmax.com katika nchi yako ili kuona bei za ndani za mipango yetu yote pamoja na ofa zilizosasishwa za washirika na ofa zingine maalum.


Je, maoni haya yamekufaa?