Ili ughairi malipo kupitia mtu au kampuni nyingine, tafadhali wasiliana naye/nayo moja kwa moja.
Hili likishafanyika, utahitaji kusasisha njia yako ya kulipa ili uendelee kutumia Showmax. Angalia Nitabadilishaje njia yangu ya kulipa? ili upate maelezo ya jinsi ya kushughulikia hili.