Fuata hatua zilizo hapa chini ili uingie kwa kutumia namba yako ya simu badala ya barua pepe yako:
1. Fikia ukurasa wa kuingia kwenye Showmax.com au programu ya Showmax
2. Bofya Tumia Nambari ya Simu Badala yake.
3. Weka nambari yako ya simu na ubofye Endelea ili umalize kuingia.