Rekebisha Tatizo
- Nimepokea ujumbe wa hitilafu ukisema kuwa huduma hii haipatikani katika nchi yangu
- Kwa nini nilipokea ujumbe kwamba kifaa changu cha mkononi hakitatumika tena na programu ya Showmax?
- Nimepokea ujumbe wa hitilafu unaosema Showmax haiwezi kufikiwa kupitia wakala au huduma za kufungua.
- Kwa nini uchezaji husitishwa ninapounganisha skrini ya nje?
- Nitafanya nini ili niwashe Javascript?
- Kwa nini programu ya Showmax ya Android inaomba ruhusa ya kutumia maikrofoni ya kifaa changu cha Android?