Kituo cha Usaidizi

Nimepokea ujumbe wa hitilafu ukisema kuwa huduma hii haipatikani katika nchi yangu


Ikiwa uko katika nchi ambayo Showmax inapatikana na upokee ujumbe huu, inamaanisha kuwa hatuwezi kubainisha kwa usahihi mahali ulipo. Jaribu yafuatayo:

  • Hakikisha kuwa huduma za DNS au VPN (k.m. UnoTelly) zimezimwa.
  • Hakikisha kwamba huduma mbadala za ubanaji (k.m. Google Data Saver) zimezimwa.

Je, maoni haya yamekufaa?