Kwa sasa huwezi kujisajili kwenye Showmax kwenye TV yako Inayoweza Kuunganisha kwenye Intaneti. Angalia Je, nitajisajilije kwenye Showmax ili upate hatua za jinsi ya kujisajili kuopitia tovuti ya Showmax, kisha utumie maelezo ya akaunti yako mpya kuingia kwenye TV yako Inayoweza Kuunganisha kwenye Intaneti.