Kituo cha Usaidizi

Je, usajili wa Showmax unapatikana kwa vipindi gani?


Usajili wa Kila Mwezi


Ikiwa utachagua kulipa kila mwezi, utatozwa kiotomatiki kila mwezi hadi utakapokatisha.

 

Malipo ya Mara Moja

Unaweza kuchagua kulipa mara moja ukitumia kadi kulipia usajili wa mwezi/miezi 1 -, 3-, 6- au 12.


Je, maoni haya yamekufaa?