Chanda - Season 1 Episode 49 - Episode 49

Episode 49

Siri kubwa za familia zenye Maagano, zinakuwa changamoto kubwa katika familia ya Azra. Maisha ya Yaz yanawekwa kwenye misukosuko kila kukicha, huku usaliti, wivu na visasi viki pamba moto.

Kula bando: Burudani + Premier League

Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.

KUANZIA
TSh 19,800