Jua Kali - Season 7 Episode 34 - Episode 34

Episode 34

Jua la familia ya Profesa linazidi kuwa kali, hatma ya Anna haieleweki Felix anafanya juu chini kuirudisha umoja katika familia yake.Na luka bado anampambania Femi.

Jua Kali Season 7

Kula bando: Burudani + Premier League

Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.

KUANZIA
TSh 19,800