Mpali - Season 4 Episode 132 - Episode 132

Episode 132

Sakata la Nguzo na wake zake zaidi ya sita, maisha yao ya kila siku ni ya visa, visanga, mashindano, wivu, usaliti. Kila mmoja akijaribu kuitetea nafasi yake.

Mpali Season 4

Kula bando: Burudani + Premier League

Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.

KUANZIA
TSh 19,800