Pazia - Season 5 Episode 14 - Episode 14

Episode 14

Regina na Mirriam wanapanga Juma Mdudu amuoe Eliza. Regina anataka kurudisha mapenzi yake na Edu. Bidu anamdhulumu Odemba.Vita vya Gota na Mrisho vinachukua mkondo mpya.

Kula bando: Burudani + Premier League

Ni zaidi ya burudani! Pata uhondo wa filamu, tamthilia kali, vipindi vya Kiafrika, na mechi za Ligi Kuu ya Uingereza mubashara kwenye simu yako.

KUANZIA
TSh 19,800