Kituo cha Usaidizi

Je, nitafanya nini kubadilisha mipango ya Showmax?


    Je, unahitaji kubadilisha mpango wako? Hakuna tatizo!

     

    Fuata hatua zifuatazo ili kubadilisha mpango wako:

    1. Ghairi usajili wako wa sasa.
    2. Subiri hadi mwisho wa kipindi cha malipo wa usajili wako wa sasa.
    3. Lipia upya usajili wako kulingana na aina ya vifurushi unavyopendelea.

     

    Je, unatatizika kubadilisha mipango? Wasiliana nasi upate usaidizi!


    Je, maoni haya yamekufaa?