Kituo cha Usaidizi

Ninaweza kurejeshewa pesa za vocha?


Tafadhali kumbuka kuwa Showmax hairejeshi pesa za vocha au kuponi za ofa:

 

  • Baada ya kupokea vocha, haiwezi kurejeshwa wala kubadilishwa kuwa pesa taslimu.
  • Baada ya vocha kutolewa, haiwezi kukabidhiwa akaunti nyingine ya Showmax.

Je, maoni haya yamekufaa?