Je, unahitaji kubadilisha mpango wako?
Fuata maagizo yaliyo hapa chini ili kupandisha au kushusha kiwango mpango wako kwenye orodha ya mipango yetu ya Vifaa vyote na Vifaa vya Mkononi Pekee:
- Katisha usajili wako wa sasa.
- Subiri hadi mwisho wa kipindi cha malipo wa usajili wako wa sasa.
- Lipia upya usajili wako kulingana na aina ya mpango unaoupendelea.
Muhimu: Mpango wa Ligi Kuu ya Showmax unapatikana tu kama mpango wa Simu ya Mkononi Pekee, kwa hivyo haiwezekani kusasisha hili kuwa mpango wa Vifaa Vyote.