Kituo cha Usaidizi

Je, Showmax imejumuishwa kwenye usajili wangu wa kila mwezi wa DStv?


Kama mteja wa DStv Premium, unaweza kuongeza Showmax kwenye usajili wako wa kila mwezi wa DStv bila kutozwa gharama ya ziada.

Wateja wengine wa DStv wanaolipia akaunti zao za DStv kupitia agizo la kutozwa, bado wanaweza kuongeza Showmax kwenye usajili wao wa DStv kwa punguzo la bei kwa mipango ya DStv iliyo hapa chini:

  • DStv Compact Plus, Compact, Family na Access wanaweza kufurahia Showmax kwa punguzo la 51%.
  • Watumiaji wa DStv Easy View watalipa bei kamili ya Showmax, hata hivyo wanaweza kufurahia manufaa ya kulipa ada moja ya Showmax na DStv.

 

Ili upate maelezo zaidi, na kuongeza Showmax kwenye usajili wako wa DStv, tembelea ukurasa wa DStv Add to Bill katika Showmax.com.


Je, maoni haya yamekufaa?