Kituo cha Usaidizi

Nini kitatokea nikighairi usajili wangu wa Showmax?


Baada ya kughairi usajili wako, bado unaweza kutazama maudhui hadi mwisho wa kipindi chako cha malipo, iwe ya kila mwezi au mwaka.

 

Kwa mfano, ikiwa una usajili wa kila mwezi, unaweza kuendelea kutazama maudhui kwa muda uliosalia wa mwezi ambao tayari umelipia.

 

Ikiwa una usajili wa kila mwaka, unaweza kutazama maudhui kwa mwaka uliosalia ambao umelipia.

 

Akaunti yako ya Showmax itatumika hata baada ya kughairiwa, kwa hivyo unaweza kuanzisha upya usajili wako wakati wowote. 


Je, maoni haya yamekufaa?