Kituo cha Usaidizi

Je, nitalipiaje upya usajili wangu?


Je, umebadili nia yako kuhusu kukatisha Showmax? Fuata hatua zifuatazo ili kulipia upya usajili wako:

 

  1. Nenda kwenye Showmax.com na uingie kwenye akaunti.
  2. Nenda kwenye Akaunti kupitia upau wa menyu wa juu kulia.
  3. Chagua Mipango na Malipo.
  4. Bofya Ongeza Mpango ili kuchagua mpango mpya wa Showmax.

 

Muhimu: Ikiwa bado hujafika mwisho wa kipindi chako cha kutazama, unaweza kubofya Anzisha Upya Mpango ili kuanzisha upya usajili uliokatisha.

 

Utatozwa mara moja kwa mwezi ujao na baada ya hapo utatozwa kiotomatiki kila mwezi katika tarehe ile ile.


Je, maoni haya yamekufaa?