Showmax Premier League inalenga mashabiki wa soka, Showmax PL itaangazia maudhui mbalimbali ya Ligi Kuu ya Uingereza kando na mechi zote za moja kwa moja, ikiwa ni pamoja na vipindi vya michezo, muhtasari wa dakika tano na 26, muhtasari wa mechi, marejeleo, mahojiano na zaidi.