Kituo cha Usaidizi

Nitaweza kuonaje historia yangu ya malipo?


Unaweza kuona malipo yako ya awali na yajayo ya Showmax katika Akaunti yako.
  

  1. Nenda kwenye Showmax.com kisha uingie kwenye akaunti.
  2. Nenda kwenye Akaunti kupitia upau wa menyu wa juu kulia.
  3. Chagua Mipango na Malipo.
  4. Telezesha chini hadi kwenye Malipo Yajayo. Hapa unaweza kuona malipo yoyote yaliyoratibiwa.
  5. Chagua Angalia Historia ya Malipo. Hapa unaweza kuona malipo yako ya awali.
     

Ukigundua matatizo yoyote ya malipo, usisite Kuwasiliana Nasi.


Je, maoni haya yamekufaa?