Kituo cha Usaidizi

Kwa nini programu ya Showmax ya Android inaomba ruhusa ya kutumia maikrofoni ya kifaa changu cha Android?


Kwenye vifaa fulani vya Android, programu ya Showmax ya Android hukubali huduma ya kutafuta kwa kutamka, huduma ambayo huhitaji ufikiaji wa maikrofoni. Huduma hii ni ya hiari na inaweza kuwashwa au kuzimwa katika mipangilio ya mfumo.


Je, maoni haya yamekufaa?