Showmax Premier League iliundwa kama bidhaa kwa ajili ya watu binafsi ambao wanataka kutiririsha moja kwa moja michezo yote 380 kutoka ligi maarufu zaidi duniani, na kwa bei nafuu sana.
Pia inakidhi mahitaji ya bara lenye shughuli nyingi na linalobadilika, ambapo mamilioni ya Waafrika wako safarini kila siku na wanataka kufikia michezo ya moja kwa moja popote pale na kwenye kifaa ambacho wanakiamini.
Ili kukidhi mahitaji haya, katika bara lenye zaidi ya simu mahiri milioni 450 na zaidi ya mashabiki milioni 250 wa Ligi Kuu, tuliunda Showmax Premier League “mfukoni”.
Tembelea blogu yetu ya Showmax ili upate maelezo zaidi kuhusu Showmax Premier League