Kituo cha Usaidizi

Kuna makosa ya uendelezaji katika anwani yangu ya barua pepe ya Showmax


Makosa ya uendelezaji hutokea! 

 

Ikiwa uliweka barua pepe yako ikiwa na makosa wakati wa kujiandikisha katika Showmax na umeshindwa kuithibitisha au kuisasisha, wasiliana nasi na tutakusaidia kuirekebisha. 

 

 


Je, maoni haya yamekufaa?